Wasanii kutoka dodoma BIG BORN 90 mtoto wa Nkuhungu pamoja na BUSH MAN naye kutoka pande izo izo za Nkuhungu wakiwa pamoja na makali wakuitwa YOUNG 60 kutokea mitaa ya KINTINKU
www.ngelangelanews.blogspot.com
kwa pamoja wameungana kuweza kuwaonyesha mashabiki wao kili walicho dhamiria kukifanya mwaka wa 2015.
wakizungumza na 98.4 Dodoma fm radio kupitia show ya MICHARAZO TIME inayoongozwa na Benedict Ngelangela YOUNG 60 kwa upande amesema kwa sasa amejipanga kuweza kuto vitu vizuri ambavyo vita wafurahisha mashabiki wake kutoka dodoma na kuahidi kuwa anauhakika kuwa mwaka huu atajipatia mashabiki wengi zaidi toka kila kona ya nchi.
kuhusu uzinduzi wa video yake yong 60 amesema amejipanga vizuri kuweza kupiga bonge la show ambayo itakuwa ni supriz kwa mashabiki wake ambao wanamkubali.
Kwa upande wake BUSH MAN Jamaa anae tamba na kibao chake cha unachuna amesema watu wasikose kufika ili waweze kuona ni jinsi gani vijana wa dodoma wanavyo weza kufanya maajabu makubwa kwenye kiwanda hiki cha muziki.
bush man |
wakitolea ufafanuzi wa show hiyo wamesema, show hiyo imeandaliwa na madau wa muziki kutoka dodoma Sulesh maraha kupitia kampuni ya Wood vision iliyoko mkoani dodoma na itafanyika katika club 84 iliyopo area c.
big born 90 |
kuhusu kiingilio ni bure na ni kuanzi saa 12 jioni hadi saa 3 usiku.
WAKAZI WA DODOMA KWA PAMOJA TUUNGANE KUWASAPOTI VIJANA WETU WALIO AMUA KUJIAJIRI KUPITIA VIPAJI VYAO.