www.ngelangelanews.blogspot.com
makazi ya studio za dreams records ambazo makazi yake ni Makole kwasasa uongozi wa dreams entertiment hivi karibuni unatarajia kuhamisha makazi ya studio hiyo ili kuweza kuongeza ukubwa wa studio yake kwani kwa sasa Dreams intertiment inampango wa kufungua bendi ya mziki ambayo itakuwa inapiga hapa hapa mjini dodoma.
saila akiwa na mwanae |
aidha ameongeza na kusema kwasasa Dreams intertiment ina mpango wa kufungua bend ya muziki na pia wameanza kujishughulisha na uandaaji wa video na tayari video ambayo wameiachia na kufanya vizuri ni kutoka kwa Muya ngoma inaitwa naahidi pamoja na video ya young 60 ambazo zote zinachezwa kwenye station za tv kubwa zikiongozwa na director Erick Bakamaza.