MSANII WA KIKE KUTOKA DODOMA CHUBBY KUJA NA HIT NYINGINE ALIYO MSHIRIKISHA ONE SIX - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, February 16, 2015

MSANII WA KIKE KUTOKA DODOMA CHUBBY KUJA NA HIT NYINGINE ALIYO MSHIRIKISHA ONE SIX

 
Anafahamika kwa jina la Chubby de cute ni baadhi ya watotot wa kike wanao fanya muziki wa kizazi kipya na kufanikiwa kuteka masikio ya watu kutokana na sauti yake pamoja na styl yake ya kuimba ambayo imegeuka kivutio kwa wengi zaidi.
www.ngelangelanews.blogspot.com
 
Chubby kwa sasa amefanikiwa kutoa nyimbo inayoitwa sifa nakupa ambayo alimshirikisha rapa kutoka dodoma(meezy)  na kufanikiwa kuweteka watu wengi pamoja na kumpatia show za kutosha mkoani dodoma.
binti huyo mwenye muonekano wa kidiva siku ya tarehe 20 feb mwaka huu anatarajia kuachia ngoma mpya ambayo amemshirikisha msanii anaye shikilia tuzo ya masanii bora wa kiume kutoka dodoma ONE SIX.
 
kwa mujibu wa menenja wa chubby ambaye pia ni meneja wake (KID WA BIONE RECORDS) amesema nyimbo hiyo mpya inaitwa hakuna tofauti ikiwa inazungumzia usawa kati ya mwanamke na mwanaume kuwa kila mmoja anweza kumdanganya mwenzie au kumkosea kwa hiyo hakuna tofauti kati yaoambayo ni ngoma ya pili toka kwa mwanadada huyo.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages