Baada ya gemu la muziki nchini tanzani soko lake kuamia upande wa video na kuonyesha baadhi ya wasanii waliotengeneza video kali wameweza kukua kisoko pamoja na kimapato pia na hata kujulikana kimataifa.
Sasa wasanii kutoka dodoma wameonyesha juhudi za kutaka kufikia mafanikio hayo baada ya mwaka 2015 wasanii kibao kuachia video zao.
Msanii mwingine alie tamba sana na kibao chake cha ushindwe wewe sasa kuja na kibao kipya ambacho kinaambatana na video mpya, taarifa hiyo ameitoa jacco beat kwenye ukurasa wake wa fb.
@@@Maisha ni safari ndefu sana ambayo ina milima na mabonde na mitihani mingi sana ila ukiwa na imani nakuto kata tamaa utayafikia malengo yako........tukutane #mateilonuge #valentineday....tuzindue video pale watu wangu wa dodoma.....tarehe kumi na nne kuanzia saa mbili usiku ni bure kabisa hakuna kiingilio... #ngebe #goldenvoice@@@
Baada ya kutafutwa na mtandao huu jacco beat amesema video hii imetengenezwa na director Mo Kali na kutoka dodoma audio ya wimbo huo unao itwa ngebe umetengenezwa na