DIR BAKAMAZA ACHARUKA AACHIA KIONJO CHA VIDEO MPYA YA MUYA KUTOKA DODOMA, TAZAMA HAPA.... - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, February 9, 2015

DIR BAKAMAZA ACHARUKA AACHIA KIONJO CHA VIDEO MPYA YA MUYA KUTOKA DODOMA, TAZAMA HAPA....


msanii wa kutoka dodoma almaarufu kama MUYA anaye tamba na ngoma yake ya suga suga
, mwezi wa kwanza kupitia MICHARAZO TIME ya DODOMA FM radio alitangaza kuja na video yake mpya ambayo hakutaja jina kwamba nyimbo iyo itaitwaje.
Sasa ahadi yake imetimia na sasa kupitia director anae chipukia kwa kasi kutoka dodoma BACKAMAZA wameachia video kiinjo cha nyimbo mpya ya MUYA inayoitwa NAAHIDI.

GET READY KWA BONGE LA VIDEO.......

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages