lakini moja ya shinikizo kubwa ambalo wanapewa wananchi nikuhakikisha kila mmoja anakuwa mstari wa mbele kuzuia na kupinga ulawiti pamoja na unyanyasaji wakijinsia, sasa vijina hawa kutoka mkoani Iringa kwapamoja wameungana kupinga ulawiti na unyanyasaji kwenye jamii kwakutumia sanaa ya muziki kuwasilisha ujumbe wao.
NAKUOMBA CHUKUA MUDA WAKO KUUSIKILIZA NA KUUPAKUA WIMBO HUU KWA KUBONYEZA MAANDISHI HAPO CHINI.
DOWNLOAD FRESH ANDY FT STINO & K SAM SONG ANZA SASA.