MSANII MYSON AMEAMUA KUMTANGAZA MPENZI WAKE, NI BINTI TOKA CHANG'OMBE DODOMA - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, June 9, 2016

MSANII MYSON AMEAMUA KUMTANGAZA MPENZI WAKE, NI BINTI TOKA CHANG'OMBE DODOMA

Kupitia account yake ya facebook msanii kutoka arusha ambaye harakati zake dodoma hivi karibuni amemtangaza mpenzi wake ambaye amemshika moyo wake.

ni binti kutoka dodoma mitaa ya chang'ombe ambaye inasemekana ni video queen.

TAZAMA PICHA YAKE HAPA WAKIWA KWENYE POZI.




Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages