UJIO MPYA WA MUIGIZAJI RACHEL NJINGO SASA AMEKUJA KWENYE MOVIE MOJA NA GABO SI YAKUKOSA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, April 19, 2016

UJIO MPYA WA MUIGIZAJI RACHEL NJINGO SASA AMEKUJA KWENYE MOVIE MOJA NA GABO SI YAKUKOSA.

Rachel Njingo kupitia ukurasa wake wa facebook amepost cover ya movie yake mpya inayokaribia kutoka hivi karibuni na haya ndo maneno yake.

Ukiikosa hiii utajilaumu sana bado cku chache upate nakala yako ndan toto la kisukuma matashititi yake na hekaheka kibao .......upo tayaliiiiiii
Stay tune.....hot..movie


Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages