bi materu ambaye anashikiria tuzo ya muigizaji bora wa kike kanda ya kati kupitia tuzo za nyambago kupitia account yake ya facebook ametuma picha akiwa kwenye studio za kipindi cha bongo movie ambacho kinaongozwa joyce kiria nkongo.
ITAZAME PICHA HII.

Kwenye picha hiyo Jacqueline Materu ameambatananisha na ujumbe uliosomeka.
Interview things with Joyce Kiria #2016 far away with my own ways —