![]() |
dj tony |
Leo ni siku ya kuzaliwa dvj amabe amekuwa anamchango mkubwa wa kuwasaidia wasanii wachanga kwenye game la muziki wa dodoma.
ni dj kutoka 98.4 dodoma fm radio kipindi cha micharazo time tarehe kama ya leo ametimiza miaka kadhaa happy b day kwako bro.