UTANI HUU USIKUPITE NI KATI YA MCHAGA NA MZARAMO HAHAHAHA SOMA UPATE RAHA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, November 10, 2015

UTANI HUU USIKUPITE NI KATI YA MCHAGA NA MZARAMO HAHAHAHA SOMA UPATE RAHA.


ni post niliyokutananayo kwenye ukurasa wa facebook nikaona isiwe tabu nikushirikishe pia msomaji wa mtandao huu, ni kati ya MCHAGA na MZARAMO nani kakamatwa hapo.
MZARAMO V/S MCHAGA.
Mzaramo alitangaza anatibu magonjwa yooooooote
kwa tsh. 100,000/=
Na kama akishindwa kukutibu anakurudishia laki
yako nakukuongeza laki nyingine.
MCHAGA akaona hii fursa yakujipatia hela aiwezi mpita akaenda kutibiwa.
MZARAMO: "unaumwa nini?"
MCHAGA: "Sisikii ladha ya aina yoyote mdomoni kabisaaaa.."
MZARAMO: "sawa, toa laki kabisa.."
Mchaga akatoa.
MZARAMO akamuagiza msaidizi wake; "Naomba kikopo no.27 mpe anywe huyu.."
MCHAGA akanywa akatema faster; "Puh puu puu, Aisee huu si mkojo huu..?"
MZARAMO: "Umepona karibu tena.."
Mchaga aka-mind sana Kesho yake akarudi tena hakuamini ameliwa pesa yake.
MCHAGA: aisee nina tatizo la kumbukumbu nasahau
sanaaaaa.."
MZARAMO akamwambia "hakuna tabu, toa laki tukupe tiba..'
MCHAGA akatoa pesa akijua leo lazima afanikiwe..'
MZARAMO: "nesi naomba kikopo no.27.."
MCHAGA: "ASA CHALII ANGU HICHO SI CHA JANA CHA MKOJO HICHO AISEE..?"
MZARAMO: "UMEPONA KUMBUKUMBU UNAYO

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages