MWALIMU ALIYETOWEKA MABAKI YA MWILI WAKE YAPATIKANA SHAMBANI KWA MWALIMU MWENZAKE.... - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, September 21, 2015

MWALIMU ALIYETOWEKA MABAKI YA MWILI WAKE YAPATIKANA SHAMBANI KWA MWALIMU MWENZAKE....

Mabaki ya Mwili wa Aliyekuwa Mwalimi mkuu shule ya msingi Muholo kata ya Luana wilayani Ludewa katika Mkoa wa Njombe aliyepotea ktk mazingira ya kutatanisha tareh 29 mei 2015 Majuto Haule mwili wake umekutwa umefukiwa katika shamba la mwalimu Vincent Haule Nje kidogo ya kijiji cha Muholo leo

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages