HUU NDIO UJIO UNAO FUATA TOKA KWA SHETTAH NGOMA INAITWA... - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, March 22, 2015

HUU NDIO UJIO UNAO FUATA TOKA KWA SHETTAH NGOMA INAITWA...


Hizi ni picha tu na baadhi ya caption alizoziandika msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Shetta kwa maandalizi ya ngoma yake mpya iendayo kwa jina la 'Shikorobo'.

 Napendaga kuona mtoto mzuri akicheza hii style akishika magoti na kujiangalia kidogo kwa nyuma den shughuli ndo inakua kama hivi haya twende... #twerk #twerk #twerk..... #shikorobo #loading.....
Nazimika anavyodance.... Njonjo akiringa ka jokate... Mpaka chini ana rotate... Akyamungu akinipa siforget.... #shikorobo

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages