Leo
tarehe 28/01/2015 ni siku ambayo wawili hao wamezaliwa ambapo wameamua
kuungana pamojana ku-share na jamii siku yao ya kuzaliwa.
Leo
asubuhi katika kipindi cha Clouds 360,Mh.January Makamba pamoja na
Idrris sultan walifika studio hapo lengo kuu ni kusheherekea siku yao ya
kuzaliwa ambayo wamezaliwa tarehe na mwezi unao fanana.
Iddris Sultan
Mwasiti pia alikuwepo
Mh.January makamba akimlisha Iddris keki