Akiwa kwenye stage baada ya ku-perform na Lina "Kizaizai" Diamond alitoa tamko hilo akisema
mi naamini si wote tunapenda mama zetu sindio? na mwanamke yoyote ni sawasawa na mama kwasababu wao ndio wanazaa si ndio?
Nimefurahishwa sana na jinsi super nyota diva wa Mwanza,
alichokifanya amefanya kitu kizuri sana, na mimi
nimewaambia kabisa, nimetoa ahadi yangu kwa Clouds kwamba, atakaeshinda
mwanamke sasa hivi kwenye Super Nyota ntafanya nae collable bure kabisa
hata shilingi kumi sichaji, kwasababu hiyo itasaidia kuwasaidia
wanamziki wakike kuwa wengi na ndio itarahisisha pia dada zetu
wasinanilii ushaelewaa....