BENEDICT NGELANGELA producer wa GHETTO BOYS pamoja na DEEZY. |
kundi hilo linalo undwa na wasanii kama wenye vipaji vya hali ya juu kama STEVEN DON STAMINA,DEOGRATIUS KESSY( DEEZY), HABABI MUHAMEDY (last born) ambao ni waimbaji huku SELEMANI JUMA akisema kama msimamizi wa kazi za wasanii hao, huku producer wa nyimbo za wasanii hao akiwa ni BENEDICT NGELANGELA.
Akizungumza na mtandao huu msemaji wa GHETTO BOYS, Deogratius Kessy amesema mashahiri ya nyimbo hiyo yameandikwa na NGELANGELA ambaye ndiye producer ya nyimbo hiyo huku chorus akiandikwa na HABABI MUHAMEDI na wameeamua kuachia nyimbo hiyo siku ya ijumaa kwasababu ni siku ya fainali ya bonanza lililo anza siku ya jana(jumatano) kwaiyo wameshukuru kupata nafasi hiyo ya kuwaburudisha washindi wa bonanza hilo.
Lakini pia ameongeza na kusema nyimbo iyo inahusu zaidi maisha halisi ya wanafunzi wa chuo hicho na lengo likwa ni kuwa badilisha tabia wanafunzi wote wsioenda na maadili ya tasnia ya uandishi wa habari na utangazaji pamoja na kuwasifia wote wenye maadili mazuri.
Aidha amewomba wanafunzi wote kuhudhuria siku ya ijumaa ili waweze kuona ustadi mkubwa toka kundi la GHETTO BOYS.
MSANII STEVEN DON STAMINA |
SELEMANI JUMA msemaji w kundi |