washiriki wote wakiwa kwenye picha yapamoja wakipa maelekezo toka kwa majaji |
miss AJTC 2012 namba mbili kwenye pozi |
mambo yalianza hivi |
huyu ndiye mshilki pekee kwa upande wa wanaume aliye ibuka mshindi kwa kukosa mpinzani |
saidi lazima akikabidhi taji kwa mshindi wa mr ajtc |
Glory swai miss ajtc 2012 akikabidhi taji kwa mshindi wa miss ajtc 2014 IREN LYMO |
MISS AJTC NA MR AJTC WAKIWA KATIKA PICHA YAPAMOJA |
miss ajtc akikabidiwa zawadi na mgeni rasmi |
MR AJTC Joseph, akikabidhiwa zawadi |
wanafunzi wa chuo cha ajtc pamoja na wageni wakifuatilia mashindano hayo aliye vaa shati jeupe ni Bogger bw Deogratius kessy |
mmliki wa blog ya full viwanja pamoja na msanii chipukizi Richard bundala nao hawakukosa kuudhulia |
kikundi cha ajtc stars wakitoa burudani |
mgeni rasmi bwn Andrea Ngobole akitoa neno |
wanafunzi wa ajtc wakifutilia kwa makiniwww.ngelangelanews.blogspot.com |