WEMA SEPETU AFUNGUKA..........SOMA ALICHO ANDIKA WEMA SEPETU KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM KUHUSU DIAMOND PLATNUM - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, December 11, 2013

WEMA SEPETU AFUNGUKA..........SOMA ALICHO ANDIKA WEMA SEPETU KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM KUHUSU DIAMOND PLATNUM



Je wewe ni kati ya wanaoamini kuwa wapenzi ‘wa zamani’ Wema Sepetu na Diamond Platnumz wanashindana kwa namna yoyote? Star wa kipindi cha ‘In My Shoes’ Wema Sepetu ameshare ujumbe kwa wote wanaofikiria hivyo.


Kupitia Instagram ameandika kuwa kitu pekee kinachosababisha watu wahisi hivyo ni kutokana na wote wawili kuwa na mafanikio katika fani zao (muziki na movie), na kuongeza kuwa hawezi kushindana na Diamond sababu yeye sio muimbaji. www.ngelangelanews.blogspot.com

Source: Bongo 5

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages