![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi akiwatoka wachezaji wa Simba SC katika mchezo wa Nani Mtani Jembe jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 3-1. |
![]() |
| Mashabiki wa Simba SC kwa raha zao |
![]() |
| Ramadhani Singano 'Messi' akimlamba chenga Kevin Yondan wa Yanga. Hapa Yondan alimchezea rafu Messi baada ya kupigwa chenga 'mbaya sana' akapewa kadi ya pili ya njano |
![]() |
| Mpira nyavuni, Juma Kaseja akiwa ameruka kushoto mpira umetinga kulia mkwaju wa penalti wa Amisi Tambwe |
![]() |
| Messi akimkimbiza Haruna Niyonzima wa Yanga |
![]() |
| Mrisho Ngassa akipasua katikati ya wachezaji wa Simba |
![]() |
| Messi akimkimbiza David Luhende. Hapa Luhende alimchezea rafu Messi ikawa penalti ambayo ilifungwa na Tambwe bao la pili |
![]() |
| Haruna Niyonzima akipambana na wachezaji wa Simba |
![]() |
| Okwi akilalamika kwa refa |
![]() |
| Didier Kavumbangu akipambana |
![]() |
| Okwi akitafuta mbinu za kumtoka Haruna Shamte |
![]() |
| Frank Domayo ameanguka chini huku Jonas Mkude anaondoka na mpira |
![]() |
| Zahor Pazi anaambaa na mpira beki wa Yanga anagaagaa chini |
![]() |
| Kipa wa Simba SC, Ivo Mapunda akiugulia maumivu baada ya kuumizwa katika kona na wachezaji wa Yanga |
![]() |
| Awadh Juma kulia akipiga kichwa pembeni ya David Luhende |
![]() |
| Mrisho Ngassa akimtoka Donald Mosoti wa Simba SC |
![]() |
| Haroun Chanongo wa Simba kushoto na Frank Domayo wa Yanga kulia |
![]() |
| Awadh Juma akimiliki mpira mbele ya David Luhende |
![]() |
| Kikosi cha Yanga leo |
![]() |
| Kikosi cha Simba leo |
![]() |
| Mashabiki wa Simba SC kwa raha zao |
![]() |
| Mashabiki wa Yanga huruma leo |
![]() |
| Kipenzi cha wana Simba, Zacharia Hans Poppe akifurahia baada ya mech |






















