PICHA YA UPASUAJI WA MBONGO ALIYEMIEZAA KETE 5000 ZA MADAWA YA KULEVYA, ONYO 18 HAWAPASWI KUANGALIA HII PICHA..!! - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, December 21, 2013

PICHA YA UPASUAJI WA MBONGO ALIYEMIEZAA KETE 5000 ZA MADAWA YA KULEVYA, ONYO 18 HAWAPASWI KUANGALIA HII PICHA..!!




Hii ni picha ya x ray inayoonesha ndani ya tumbo madawa aliobeba.




Yanavyoweza kuathili baadhi ya sehemu katika mwili.



Operation ikifanyika tayari kuyaondoa madawa hayo yaliompelekea kijana huyu kufariki.



Operation ikiendelea hatari sana ndugu zangu.



Baada ya utumbo kutolewa tayali kuanza kuyatoa madawa hayo.



Kama uonavyo yakiwa ndani ya utumbo mpana.



Yakianza kutolewa pamoja na kushafishwa jinsi unavyoona katika picha.



Baada ya utumbo kuchanwa tayari kwa kutoa keti hizo.www,ngelangelanews.blogspot.com



Kabla mtu ajazimeza zinakuwa hivi sasa ebu fikilia mtu anameza kete elfu 5 jamani hii ni hatari .

Picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule.


Hivi ndio huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya(maarufu kwa jina la Punda) ni hatari sana kwa afya ya Binadamu, kijana tuungane kwa pamoja kupinga biashara hii haramu na hatari sana tukishirikiana kwa pamoja na Serikali kwa pamoja tunaweza kutokomeza madawa haya haramu na hatari sana kwa jamii yetu

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages