ANGALIA PICHA ZA DIAMOND PLUTNUM AKIWA STUDIO WAKATI WA KUTENGENEZA REMIX YA MY NUMBER 1. NA ALICHO KISEMA - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, November 2, 2013

ANGALIA PICHA ZA DIAMOND PLUTNUM AKIWA STUDIO WAKATI WA KUTENGENEZA REMIX YA MY NUMBER 1. NA ALICHO KISEMA

 Ni saa 8 za usiku baada ya kutoka kwa Chali
 kufanya project ya Cocacola
ilinibidi niende kwa producer Tudd thomas
 akishirikiana na Sheddy mwenye Clever zake..
kubwa likiwa ni kuingiza vocal zangu ndani ya
 remix ya number one 

niliyofanya na mnyama wa Naija,Davido ambaye
 yeye alifanya yake.
na ili kuweka njonjo za hapa na
 pale kuhakikisha wimbo
 unakuwa na hadhi inayokidhi mahitaj ya fanswangu
ilibidi nimwite na mzee wangu King Maru,mkari wa kupuliza
 saxaphone ili nae atie mambo yake 
kumbuka mzee Maru alipiga saxaphon yake kwenye number one ya kwanza...
Nikitoka studio kwa Chali
www.ngelangelanews.blogspot.com
Hakuna project inaniumiza kichwa kama hii,nikiwaza
 niweke nini,nipunguze nini.........!!!

Tudd kwa nini hii line,isipande kwa hapa mwanzo..??

Mzee Maru akifanya vitu vyake


Kama pumzi hazikuenei..hii kitu huiwezi......!!!



Tudd

Sheddy mwenye clever zake

Ushirikiano ndio nguzo ya chochote kizuri..!!!



Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages