KALA JEREMIAH AWAOMBA MASHABIKI WAKE MSAMAHA, SOMA ALICHO ANDIKA KWENYE MTANDAO WA KIJAMII - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, October 26, 2013

KALA JEREMIAH AWAOMBA MASHABIKI WAKE MSAMAHA, SOMA ALICHO ANDIKA KWENYE MTANDAO WA KIJAMII

hABARI ZA MASIKU KIDOGO WATU WANGU WOTE. POLENI KWA YOTE YALIYOTOKEA KUNA WATU WALI-HACK AKAUNTI YANGU YA FACEBOOK NA HII PAGE WAKAWA WANAITUMIA KWA MANUFAA YAO YA KUJITANGAZA WANATOA MIKOPO. NAMSHUKURU MUNGU NIMEWEZA KUIREJESHA PAGE HII MIKONONI MWANGU ''KALA JEREMIAH MASANJA'' TUTAENDELEA KUWA PAMOJA. KWA WALE AMBAO MLIDANGANYIKA NA HAWA MATAPELI POLENI PIA TUJIFUNZE KITU KAMA KUNA MTU ANATAKA MIKOPO NAFUU ISIYOKUA NA RIBA NA MASHARTI RAHISI USHAURI WANGU JIUNGE NA TAASISI YA KISERIKALI AMBAYO WATU WENGI TUMEJIUNGA www.ngelangelanews.blogspot.com
hii tabia ya kuingia kwenye akaunti za mastar na kuzaifanya kama zao sijui itaisha lini ebu acheni izo ni kutafutiana matatizo tu tuelimike basi.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages