Wanakikunda cha global of high music wakicheza ngoma
burudani ikiendelea
wapiga ngoma wakifanya mambo yao ili kuleta radha nzuri
haya mtazame mwenzako twede kazi
kiongozi akitoa mambo yake
onyesho hilo lilifanyika katika viwanja vya chuo cha tumaini makumira jijini arusha lilkishirikisha nchi zaidi 32