TANZIA:MWANASIASA MKONGWE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU AFARIKI DUNIA. - NGELANGELA NEWS

Post Top Ad

Thursday, February 1, 2018

demo-image

TANZIA:MWANASIASA MKONGWE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU AFARIKI DUNIA.

Responsive Ads Here
Mwanasiasa mkongwe nchini Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru amefariki dunia usiku wa kuamkia Leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa anatibiwa, familia yake imeripoti.
.com/
Mzee Kingunge (87) alikuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akiuguza majeraha ya kushambuliwa na kung’atwa na mbwa akiwa nyumbani kwake.
Katika enzi za uhai wake Mzee Kingunge alikuwa mmoja wa viongozi wa muda mrefu wenye ushawishi na waasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) hadi alipojiuzulu kutoka kwenye chama hicho Oktoba 2015.

Post Bottom Ad

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *