Hivi karibuni kupitia kipindi cha micharazo time toka 98.4 dodoma fm radio Onesix aliripotiwa kupata homa iliyopelekea kulazwa na baada ya wiki moja alipona kabisa.
HIKI NDICHO ALICHOANDIKA ONE SIX KWENYE UKURASA WAKE FB.
Daaah ndug zang hali imenirudia tena naumwa Sana siku ya nne tang nipost post ya mwisho........maombi yenu ndio yalinisimamisha mara ya kwanza na nikasimama so plz naomba sana ndug zang na mi pia najiombea mwenye uhitaj wa kuniona aje nyumbani kisasa kw mama.......karibun sana
