![]() |
young 60 |
60 anasema amekuwa akipata tabu kurekodi nyimbo kwenye studio mbalimbali kwani alikuwa akihitaji kulipia pesa nyingi ambayo kwaupande wake ilikuwa ni changamoto zaidi lakini kwasasa baada yakupata mkataba huo imemrahisishia kurekodi bila mawazo pamoja na kutengenezewa video bila yeye kuchangia chochote na kazi yake kubwa ni kutengeneza mziki mzuri.
pamoja na hayo young 60 amesema mkataba alioupata chini ya defartality music itamsaidia pia kufika mbali kwani wanasimamia promotion za kazi zake zote pamoja na kusambaza ngoma kwenda sehem mbalimbali hadi nje ya TZ
Kuhusu kuhama kundi la Rap Natio 60 amesema mkataba wake hauingiliani na kundi lake kwani kundi lake linamruhusu member yoyote kufanya kazi nje ya kundi bila kufungwa.