(VIDEO) MAFURIKO YAJITOKEZA KWENYE UZINDUZI WA BIDHAA MPYA YA DIAMOND (KARANGA)
Baada ya Diamond Plutnumz kuzindua bidhaa ya Perfume nchini nakufanya vizuri kibiashara sasa amekuja tena na biashara nyingine ambayo kwasasa ameamia kwenye chakula kwakubuni Karanga za Diamond. TAZAMA VIDEO.