Siku ya tarehe 17 june 2017 kituo cha radio 98.4 dodoma fm radio kiliwakutanisha wadau wakituo hicho pamoja na mashariki mbalimbali kwenye futari ya pamoja iliyohudhuriliwa na baadhi ya radio za mkoa wa Dodoma pamoja na waandishi wa habari.
benedict Ngelangela dodoma fm na Amani wa Maisha fm |
wadau wa dodoma fm |
Wadau na watumasalam wa 98.4 dodoma fm radio |
matereka junior dodoma fm spots baab kubwa akiwa na wadau |
Mariam Matunda dodoma fm radio |