_AUDIO) SIKILIZA PACKAGE FUPI WAKULIMA WA ZAO LA KITUNGUU MKOANI DODOMA KATA YA IHUMWA WAKIELEZA CHANGAMOTO ZAO. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, January 24, 2017

_AUDIO) SIKILIZA PACKAGE FUPI WAKULIMA WA ZAO LA KITUNGUU MKOANI DODOMA KATA YA IHUMWA WAKIELEZA CHANGAMOTO ZAO.

Kupitia kipindi cha nyakati zinabadilika toka 98.4 Dodoma fm radio ambacho huangazia mambo mbalimbali ya kilimo kilifanikiwa kufika nje kidogo ya mji wa Dodoma kata ya Ihumwa na wamefanikiwa kukutana na wakulima wakilimo cha vitunguu kuelezea kiundani hali ya kilimo hicho mkoani Dodoma pamoja na soko lake kiujumla.
Image result for KITUNGUU
vitunguu vikitoka kuvunwa
miongoni mwa changamoto walizo bainisha ni kuuziwa baadhi ya dawa za mazao ambazo ni bandia zimekuwa zikishindwa kukuza mazao yao vizuri.

pia wamesema hali ya soko bado si lauhakika kwani wamekuwa wakijitafutia masoko pamoja na kupangiwa bei ya mauzo na walanguzi wa zao hilo.

BONYEZA HAPA KUSILIZA WAKULIMA HAO WAKIBAINISHA CHANGAOMOTO ZAO.

imeendaliwa na Benedict Ngelangela.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages