1 |
hayo ameyazungumza Ainea katika kipindi cha Micharazo Time alipoulizwa kwanini kwenye list ya wasanii alio nao hayupo msanii anaetoka nae mtaa mmoja licha ya kuwa show hiyo inafanywa ndani ya mtaa huo wa makulu ndipo aliposema kuwa alipewa mashart kuwa endapo atahitaj show hiyo ifanyike basi asimuweke msanii mwenzake huyo mwenye ushawishi mkubwa Dodoma Mch Zayumba.
haijajulikana ni kwanini mmiliki wa ukumbi alimkataa msanii huyo kuhudhulia kwenye show hiyo.