
Breezy amesema amejifunga mengi sana baada ya kupanda kwenye jukwaa la Fiesta mkoani Dodom kwani hakuamini kama mashabiki wengempokea kwa nguvu zote na kuweza kupigiwa shangwe la kutosha hambalo hakutarajia kama ingekuwa hivyo.
ameongeza kwa kusema baada ya kufanya kile mashabiki wanahitaji kwasasa amelisoma game kuwa linahitaji nini na mwezi wa kumi anampango wa kuachia wimbo mwingine ambao mpak sasa bado hajaweka wazi kwamba wimbo huo utaitwaje na amefanya kwenye studio zipi.