HII NI SIMULIZI MPYA ILIYOTOKA MWAKA HUU,INAITWA LAST MISSION SI YAKUIKOSA PITIA HAPA KUUNZA UONDO, NAKUPATA DETAIL ZAIDI. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, May 4, 2016

HII NI SIMULIZI MPYA ILIYOTOKA MWAKA HUU,INAITWA LAST MISSION SI YAKUIKOSA PITIA HAPA KUUNZA UONDO, NAKUPATA DETAIL ZAIDI.

Kama wewe ni mpenzi wa kusoma vitabu na kupitia hadithi mablimbali pamoja na simulizi, basi mtunzi wako mahiri ambaye ni mwanachuo wa SUA anaitwa LULU LUIZA anakuletea simulizi hii yakusisimua na kushtusha na iliyobeba elimu ya hali ya juu inayo muhusu kijana wa kuitwa LUIZA BERNAD.
 
PICHA LINAANZA HIVI..........
 Kwa jina aliitwa LUIZA BERNAD  anajikuta katika wakati m gumu baada ya kukubali kuitumikia tena nchi yake baada ya kusikia kuna watu wachochea ugomvi wa kidini na kisiasa ili kuleta vita katika nchi yake ili kuiokoa nchi yake na kuwakamata waalifu wote wanaohusika na mipango hiyo.

kazi hii ya mwisho inamfanya apoteze watu wake muhimu muhimu na kuaribu muelekeo wa maisha yake na kuhukumiwa kifungo cha maisha.

NINI KITAMKUTA BWN LUIZA.......??????????

ukitaka kuipata simulizi hii na ukaisoma kiundani zaidi
wasiliana kwa namba 0656994884
................................lulu2hamza@gmail.com

IMETUNGWA NA LULU HAMZA.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages