MSANII na muigizaji wa kike toka dodoma ametoa yake ya moyo na kusema hakuna kama Jacqueline materu
 |
| mage |
|
|
|
|
|
|
| |
Mage amezungumza hayo wakati akihojiwa kwenye kipindi cha micharazo time toka 98.4 dodoma fm radio na muongozaji ambaye ni benedict ngelangela, alipo ulizwa ni msanii gani wa kike unamkubali kwa dodoma alijibu kwa manjonjo kuwa hakuna kama jack materu kwa dodoma kuwa anajua kupitiliza kwenye swala la uigizaji.
Mage ni muigizaji ambaye anachipukia kwa kasi mkoani dodoma kwa uigizaji kwani pia amechaguliwa kuwa muigizaji bora wa kike msaidizi waweza pia kumpigia kura kumwezesha kushinda tuzo hiyo.