Mtangazaji
maarufu wa vipindi vya burudani hususani FLEVA NO LIMIT ya kibo fm
Bwana DEOGRATIUS KESSY leo amefunguka juu ya wasanii wachanga wanaotoa
nyimbo zisizo na mvuto au ubora kisha kuwahonga watangazaji wa vipindi
vya burudani ili wazipige radioni, amesema kuwa kufanya hivyo ni kukiuka
maadaili ya utangazaji lakini pia ni kuua vipaji vya wasanii wachanga
.
|