
Ni kipindi kipya toka 103.7 Ras fm dodoma kila siku ya jumatatu hadi ijumaa, muongozaji ni Josephine Charlse akiwa na watangazaji wanzake.kwamaelezo zaidi endelea kumfuata Josephine charls kwa facebook kama Josephine Charlse uweze kupata update zaidi.
