JACO BEAT ASEMA AMBACHO ATAKIFANYA ENDAPO ATASHINDWA KUPATA TUZO. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, February 25, 2016

JACO BEAT ASEMA AMBACHO ATAKIFANYA ENDAPO ATASHINDWA KUPATA TUZO.

Msanii wa muziki toka dodoma jaco beat amepata fursa ya kuzielezea tuzo za nyambago kupitia kipindi cha micharazo  time toka 98.4 dodoma fm radio kikiongozwa na benedict ngelangela.

Jaco beat yupo kwenye tuzo za nyambago kama msanii bora wakiume pia anajivunia kwa hatua hiyo aliyo ifikia mpaka kuwepo kwenye tuzo na kuwekwa kwenye kipengele hicho kigumu zaidi na chenye ushindani mgumu.

Jaco beat amejihakikisha kuwa atachukua tuzo hiyo kwa asilimia zote huku akisema endapo akishindwa kuchukua tuzo hiyo kuna kitu ambacho atakifanya pindi tuzo hizo zikimalizika.

jaco baada ya kuulizwa ni kitu gani ambacho atakifanya ameshindwa kuweka wazi zaidi ila alisisitiza kuwa anampango wa kufanya kitu ambacho kwa sasa ni siri.

tuzo hizo za nyambago ambazo zinatarajiwa kufanyika ijumaa hii kwenye kumbi za african dreams kuanzia saa mbili asubuhi.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages