
kupitia mtandao wa watsap kwenye group la jukwaa la wasanii msanii huyo wa muziki wa hip hop amesema siku ya valentine day amepanga kusherehekea siku hiyo kwa kukesha studio akiandaa mkwaju wake mpya ambao anatarijia kuutoa muda si mrefu.
source watsap.