
Kama kawaida zile harakati za watoto wa dodoma bado zinasonga mbele zaidi, Yule wakuitwa breezy hivi karibuni kupitia dodoma fm radio ilisikika story kuwa yupo tayari kuachia nyimbo mpya ambayo itaambatana na video kali zaidi.
Breezy amesema kwasasa yupo jijini dar es salaam ambako ndiko anafanyia harakati zake za kimuziki kwasasa na huko ndiko aliko shoot video yake mpya ambayo hakuwa tayari kuitaja inaitwaje.
NA HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA SHOOT ZILIZO TUMIKA KWENYE VIDEO HIYO.
![]() |
![]() |
![]() |