MAJANGA WASANII DODOMA WAMLALAMIKIA MUANDAAJI WA SHOW ILIYOBIDI IFANYIKE KIBAIGWA KWA MAANDALIZI MABOVU, WADAI WAMEDHALILISHWA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, April 25, 2015

MAJANGA WASANII DODOMA WAMLALAMIKIA MUANDAAJI WA SHOW ILIYOBIDI IFANYIKE KIBAIGWA KWA MAANDALIZI MABOVU, WADAI WAMEDHALILISHWA.


Hivi karibuni tuliona matangazo mengi kupitia mitandao ya kijamii pamoja na kusikia matanagzo kupitia radio kuwa siku ya jumamosi kibaigwa itashuka bonge la show itakayo husisha na perfomanc ya wasanii toka dodoma na list ilipangwa na kujulikana.
kwa mujibu wa kilichotokea ambacho kimezua mjadala Wats up wasanii wameonekana kukwazwa na kitendo kilichofanywa na muandaaji wa show hiyo.
messeji za majadiliano zinaonesha kuwa ubabaishaji ulianza pale ambapo walipofika kibaigwa huku muandaaji wa show akiwa hajui hata nu ukumbi gani utatumika kwa show, kibali hakuna na sound ikiwa ni mbovu.
MJADALA ULIKUWA KAMA IFUATAVYO..........






HAIKUISHIA HAPO Nae mtangazaji wa IMPACT FM ambao walikuwa ni washirika wa show hiyo Wizzy hajalifumbia macho hilo na kuamua kuweka neno pamoja na kuomba radhi kwa kile kilicho tokea kwenye show hiyo.
na haya ndo maneno yake.
NUKUU
Kwaniaba ya GX na swaga na the capital tz, 2napenda kulaani kikali kitendo kilichofanywa na mmliki wa coco rec... athaa kwa uhuni wa kitoto aliotufanyia kwa kutudhalilisha cc, Mapresenta,wasanii na the capital tz blog pamoja na wadau wote wote kwa maandalizi hafifu nakutufanya cc kudhalilika.. wilz snady, d tym, silver touch na Ronad Sonyo tunaomba radhi kwa ujinga kwa ujinga ambao tumesababishiwa na kudhalilika sasa ili ajifunze  namna ya kuandaa show tunaomba aje hombolo yeye na familia yake apate semina ya kuandaa show.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages