
shughuli zoote mpwapwa zitasimama kwa usiku mmoja tu huku kwa pamoja tukiimba ile ngoma ya mji wa dodoma yakuitwa KIDOGO na nyingine nyingi amabazo zinatoka kwa mkali huyo wa dodoma WISE ONE.
KIINGILIO cha shilingi elfu tano tu mlangoni.
Shughuli yote ni pale kwenye ukumbi wa CCM kuanzia saa 2 usiku na kuendelea ni kwa udhamini wa RASI FM.
EBWANAA EEE SAPOTI KIPAJI TOKA NYUMBANI.
hiki ndicho alicho kisema wise one
Hallow..tarehe 5 april ntakya Mpwapwa ndani ya ukumbi wa CCM..historia ya nilichokifanya mwaka jana itajirudia...sogeeni kwa wingi sana muje kuona nini nimewaandilia kijana wenu...Nawapenda sana..Mpwapwa hii sio ya kukosa ni kwa ajili yenu..unaruhusiwa kushare hii ili na rafiki zetu wengine wapate taarifa..‪#‎wiseone‬