
Katika uhai wa binadamu kitu ambacho hawezi kukisahau ni siku ambayo alitua duniani nikimaanisha siku ambayo alizaliwa na kuliona jua.
kinda ambaye anachipukia vizuri kwenye game la kuongoza na kutengeneza video za wasanii toka dodoma Erick backamaza siku kama ya leo ya tarehe 28 march, ndio ambayo amezaliwa.
Mtandao huu wa Ngelangela news unaungana na baadhi ya watu wafuatao kumpongeza ndugu yetu bakamaza kwa umri alio timiza kwasasa kutokana na mchango wake mkubwa katika kuutangaza muziki wa dodoma.
![]() |
Add caption |