TAZAMA PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA BONGE LA NYAU FT ALI KIBA-UAMINIFU.
Bonge la Nyau ameshoot video ya wimbo wake mpya ‘Uaminifu’
aliyomshirikisha Ali Kiba. Wimbo umefanyika kwenye studio za Sharobaro
Recs na video imefanywa na kampuni ya Kwetu Studio. Hizi ni picha za
uchukuaji wa video hiyo.