PICHA ZA SHOOTING YA VIDEO MPYA DKNOB <NISHIKE MKONO> AKIWA NA MWASITI - NGELANGELA NEWS

Saturday, February 15, 2014

PICHA ZA SHOOTING YA VIDEO MPYA DKNOB AKIWA NA MWASITI

Picha za shooting ya video mpya ya Dknob " Nishike Mkono" akiwa na Mwasiti

wiki moja baada ya kudondosha single mpya "Nishike Mkono"  akiwa na Mwasiti, Mr Sahani a.k.a Dknob yuko location kutengeneza video ya wimbo huo akiwa na Director Nick Dizzo wa E Media..
hizi ni baadhi ya picha za video hiyo ambayo mwenyewe anatarajia kuidondosha siku ya ijumaa





Pages