Tangu
jana usiku kuna picha ilikua inasambaa ikimwonyesha Msanii PNC akiwa
amempigia magoti boss wake wa zamani Ostaz Juma na musoma, akiwa
anamwuomba msamaha, huku Ostaz anaonekana akiwa amekalia kochi huku
amekunja nne, picha imekua gumzo, wengi wakidai kuwa kitendo cha picha
hizo kupigwa na kusambazwa hasa Ostaz mwenye kuipost picha hiyo kwenye
mtandao wa Instagram ni kumdhalilisha msanii huyo MSIKILIZE HAPA CHINI OSTAZ JUMA AKIFUNGUKA...
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.