HIKI NDO ALICHO KISEMA DIAMOND BAADA YA KUFANYA KAZI NA PROFESOR JAY. - NGELANGELA NEWS

Wednesday, January 15, 2014

HIKI NDO ALICHO KISEMA DIAMOND BAADA YA KUFANYA KAZI NA PROFESOR JAY.

 Ninapopata Bahati ya kufanya Nyimbo na

 wakubwa zangu ambao nilikuwa nikiwaskia tangu
 nawaza Nitoke vipi, hadi leo kupata Fursa
 kushiriki nao... Hunipa Faraja sana na
 moyo wa kujituma zaidi....Get ready Kwa 
hii kitu #KipiSijasikia??? @professourjaytz ft @Diamondplatnumz ...
HICHO NDO ALICHO ANDIKA KWENYE MTANDAO WAKE DIAMOND

Pages