ANGALIA PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA Y TONY MZEE WA MASEBENE NGOMA INAITWA PENDO
Video nzima wamehusika watu watatu tu muimbaji na wacheza story wawili
kutoka kushoto ni Kalisa anaefata ni yule mrembo wa kwenye video ya
nainai ya ommy dimpozi Ney, Y tony mzee wa masebe na Pabro ndio amefanya
video hii ya wimbo wa y tony uaojulikana kama pendo hivi karibuni video
itatoka kaa tayari kuona kideo iko kilichojaa mahaba ya dhati na chenye
quality na mandhali yakutosha sana. apex video imehusika na inatoka
katikati ya mwezi wa kwanza.